RUDI NYUMBANI

Rudi Nyumbani NET Event 2024

Tunakukaribisha katika mkutano wa injili "Rudi Nyumbani" utakao kuwa katika Kanisa La Kiadventista la Kizingo Mjini Mombasa, pwani ya Kenya. Mkutano huu unaanza tarehe 9/6/24 hadi tarehe 22/6/24. Kumbuka kualika mwenzio katika mkutano huu, usiachwe nyuma.

Rudi Nyumbani FB Cover Page